Mimi sijui ladha yake kwa sababu sijawahi kuzitumiaDawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi.
Vipi nyie wakuu mwazionaje?
Dawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi.
Vipi nyie wakuu mwazionaje?
Mkuu ungeanza na yule alokufanya utumie ARV angekupatia jibu sahihiDawa za ARV za siku hizi naziona kama zinakauchachu fulani hivi.
Vipi nyie wakuu mwazionaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo mleta mada ndiye mwenye dhihaka ni kwa hujawahi kuona sms hiyo ikisambaa.Pole sana Mkuu,hujafa hujaumbika na kama bado unaishi lolote laweza kukupata katika safar ya maisha,nashangaa wanaoleta dhihaka!
Mwanangu rudisha uandishi wako wa mwanzo (niliukubali sana)[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo mleta mada ndiye mwenye dhihaka ni kwa hujawahi kuona sms hiyo ikisambaa.
Mwanangu rudisha uandishi wako wa mwanzo (niliukubali sana)
Aroooo wewe si ndie urikuja famasi kutaka sildenafir?Nitachomwa moto.