ARVs kusitishwa nchini, Je ni kweli?

Ighombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
1,181
Reaction score
675
Wanajamvi hivi ni kweli nchi wahisani wametangaza kusitisha msaada wa dawa hizo kwa Tanzania?
 
umsikia wapi hiyo habari hii.acha uongo lione
 
umsikia wapi hiyo habari hii.acha uongo lione

mbona hivyo wewe? Angalia thread! Kuna uhusiano gani kati ya swali na uongo? Kuna mtu alisema amesikia bungeni mimi sikumwamini ndo maana nikauliza kwa wengi.kuuliza jambo ni kosa? Nini maana sasa ya jukwaa?
 
Kuna mpango wa kuchangia budget ya ARVs toka kwa kila mwananchi. Nadhani Botswana wanachangia sasa zile costs japo

kidogo. Trend ndio hiyo. Tanzania hakutakuwa na tofauti saaana katika hili pia.
 
Kuna mpango wa kuchangia budget ya ARVs toka kwa kila mwananchi. Nadhani Botswana wanachangia sasa zile costs japo

kidogo. Trend ndio hiyo. Tanzania hakutakuwa na tofauti saaana katika hili pia.

ole wenu muichagie chadema kwenye uchaguzi ujao mkiwachagua tu mtanunua dawa kwa gharama zenu
 
kuna mpango wa kuchangia budget ya arvs toka kwa kila mwananchi. Nadhani botswana wanachangia sasa zile costs japo

kidogo. Trend ndio hiyo. Tanzania hakutakuwa na tofauti saaana katika hili pia.

ahsante! Mkuu wewe sasa ndo umenijibu swali .mie nimeuliza mkuu mwingine hapo ananisuta!!!
 
Kuna mtu alisema amesikia bungeni

Bungeni Serikali ilikanusha na kutoa ufafanuzi kuhusu upatikanaji wa ARV, hauna uhusiano na mfadhilui kujitoa ktk bajeti ya serikali.
 
Bungeni Serikali ilikanusha na kutoa ufafanuzi kuhusu upatikanaji wa ARV, hauna uhusiano na mfadhilui kujitoa ktk bajeti ya serikali.

Hili ni jibu la kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…