ARVs kwa asiye mwasirika

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
habari anajamii,. ningependa faam kama kuna madhara yoyte kutumia hizo daa ka asiye mwasirika
 
Madhara yapo na nimakubwa sana. Maana kwa tafasiri isiyo rasmi ni kuwa Dawa ni sumu itumikavyo kuu vijidudu na vimelea vya maladhi mwilini mwetu. Dawa (sumu)itumike pindi tu daktari akithibitisha una vimelea vya ugonjwa fulani. Hivyo usijaribu kutumia Sumu (ARV) kama hauna vimelea vinavyotakiwa ili kutumia hiyo ARV.
 
watu wengine bwana mnajaza nafasi tu humu ndani na kuwachosha madoctor wetu,ww kwa nn utumie wakati hujaathirika?
 
kuuliza si ujinga na tupo hapa tuelimishane.,.
 
Why on earth would you even think about that? Kila dawa ina contraindications na side effects. Unataka kutuwekea kwenye kuku wewe si bure!
 
Iv unaweza vaa condom af unavaa boxer af na sarawili af na shati na tai af unaenda kazini?
Jus askn
🙂
 
Unaweza kutumia kwa ajili ya kinga ya mwili zidi ya HIV,Gida more ARVS for better immunity
 
Hii umeifanyia research? Ama unatumia imaginations zako? Manake hata kinga ya mafua sio kutumia vitamin c bali ni kula matunda na mboga za kijani.
Unaweza kutumia kwa ajili ya kinga ya mwili zidi ya HIV,Gida more ARVS for better immunity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…