Tetesi: AS FAR Wanamtaka Fadlu Davids kuwa Kocha wao mpya baada ya kumfukuza Hubert Velud

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wazee Ubaya Ubwela jiandaeni Kisaikolojia

AS FAR ya Morocco, inamtaka kocha wenu kipenzi baada ya kumfukuza Hubert Velud leo, tarehe 5 Februari 2025, kufuatia matokeo ya hivi karibuni.
IMG_2962.jpeg

Katika kipindi hiki cha mpito, kocha msaidizi Jamil atachukua majukumu ya kuiongoza timu hadi pale klabu itakapomsajili kocha mpya.

IMG_2960.jpeg

IMG_2961.jpeg
 
Mna force muwe kama Yanga
Mzize anatakiwa Wydad na nyie mkazusha Kibu kutakiwa mc Alger wakati sio kweli

Yanga tumemuuza Ramovic madola ya pesa usiku mnazusha ati FAR Rabbat wanamtaka kishingo

Yaani FAR Rabbat wamtake coach wa shirikisho
Kocha anauzwa Ndio nasikia leo😂😂

Haya ameuzwa hela ngapi?
 
Mna force muwe kama Yanga
Mzize anatakiwa Wydad na nyie mkazusha Kibu kutakiwa mc Alger wakati sio kweli

Yanga tumemuuza Ramovic madola ya pesa usiku mnazusha ati FAR Rabbat wanamtaka kishingo

Yaani FAR Rabbat wamtake coach wa shirikisho
Yanga imemuuza coach mwenye mkataba wa miezi sita na termination of contract condition at anytime 😁😁😁😁 maajabu
 
Tarehe 6 imeshafika na hamsemi wakuu 🤔
 
Yanga imemuuza coach mwenye mkataba wa miezi sita na termination of contract condition at anytime 😁😁😁😁 maajabu
Mwenda wazimu huyo nakuambia😂😂
Kwahiyo wamumuuza tena sio kuvunja mkataba
 
Mna force muwe kama Yanga
Mzize anatakiwa Wydad na nyie mkazusha Kibu kutakiwa mc Alger wakati sio kweli

Yanga tumemuuza Ramovic madola ya pesa usiku mnazusha ati FAR Rabbat wanamtaka kishingo

Yaani FAR Rabbat wamtake coach wa shirikisho
Huyu sibishani nae tena ni takataka kwangu Kalpana OKW BOBAN SUNZU kumbe kocha Ramovich ameuzwa bwana
 
Mwenda wazimu huyo nakuambia😂😂
Kwahiyo wamumuuza tena sio kuvunja mkataba
Lakini hawa Yanga itakuwa walimtia saini ya mda gani?au huo mkataba sijui itakuwaje!

Najiuliza pia je Simba kwa Fadhlu tena mbona itakuwa pigo kuondoka mda huu wakati Simba ishaanza kujipata na ina mashindano ya kimataofa
 
Mna force muwe kama Yanga
Mzize anatakiwa Wydad na nyie mkazusha Kibu kutakiwa mc Alger wakati sio kweli

Yanga tumemuuza Ramovic madola ya pesa usiku mnazusha ati FAR Rabbat wanamtaka kishingo

Yaani FAR Rabbat wamtake coach wa shirikisho
Kasheshe kweli kweli!
Kumbe Kocha nae anauzwa na hamsemii 😂.

Ko Kocha wenu wa Sasa hivi mmenunua wapi? Taifa Lina safari ndefu sana hili 😂
 
Lakini hawa Yanga itakuwa walimtia saini ya mda gani?au huo mkataba sijui itakuwaje!

Najiuliza pia je Simba kwa Fadhlu tena mbona itakuwa pigo kuondoka mda huu wakati Simba ishaanza kujipata na ina mashindano ya kimataofa
Bado ni Tetesi in fact As Far Rabat hawawezi mfukuza kocha alieongoza kundi juu ya Mamelod CAF CC Wamchukue kocha wa Simba Confederation Cup
 
Kochwa anauzwa? Mhh hivi huyu mtu hajalanduka kweli?
 
Back
Top Bottom