As i said; no SGR financing for Naivasha-Kisumu availed so far

kila siku tunajenga kwa hela zetu, mwaka wa 3 reli bado IPO Dar...
Ujinga ni mzigo mkubwa sana, lini ujenzi wa reli ya Tanzania ulizinduliwa, na umepangwa kukamilika baada ya muda gani?, sio kilimo cha tomato ambacho kinakamilika baada ya miezi mitatu, waulize wakenya walikamilisha kwa muda gani hadi Nairobi, na hadi Kisumu itachukua miaka mingapi toka sasa?
 

hawa ndiyo wale wanaotokea kwenye yale majukwaa ya gossip kule kwa kina kimange

cc. Tabutupu
 


Masikini Kisumu yangu, sijui iliikosea nini Kenya!
 
Masikini Kisumu yangu, sijui iliikosea nini Kenya!

bora tu Raila aapishwe. maana sasa wamezidi kutuweka nyuma kwa kila kitu. south western Kenya sijui kwa nini wanawekwa pembezoni. hata prof Chacha wa Chacha anashangaa.
 
we are using funds from own source revenue.
It's an equity (capital) funded project. need say more?
Self financing a project like this will just drive your economy to the ground. All this funds can be used to grow other sections of the economy. Remember getting loans is not a bad thing. You get money from someone you pay them when the currency has lost value. A shilling today is worth more than a shilling tommorow... Just think about it
 
whose economy grows faster than the rest in EA? Whose economy has lowest inflation than the rest in EA? The answer is Tanzania with estimates by MOF WB n IMF is to grow btn 6.8-7% for 2016/2017 financial year. Go n sleep Magufuli knows what debts mean! Right now Kenya’s GDP to debt ratio is 60% it takes Tanzania to just close her border n u dance to the music!
 
WB walimuambia on His face hio project sio viable labda wampatie ka-loan ka $200 m kurefurbish TAZARA lakini bado anang'ang'ana na Kenya.
Anashindana na tembo kunya, atapata expansion joint bure mazee.
 


A big country like Tanzania with all those resources and still classified as a LDC at this age is a big joke.

Mukacheze na kina Malawi ama Afghanistan.
peregrine falcon(Kenya) diving speeds can reach 200-300 mph! 5% of 300= 15. That of a Gryfalcon(Tanzania) reach 130 mph relative to it's size. 7% of 130= 9.1. Tz no Bure kabisa.
 
But all means tell him to close the border...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…