As long as tumeruhusu IRON BOYS to govern the state, ie kuwa watawala wa nchi, the worst has yet to come

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Haya aliyasema Plato kama picha inavyoonesha hapa chini.

Iron ladies and Iron boys akina Nape and Chawa Co. Ltd ndio wanaongoza taifa lazima kuwa na majanga kama haya.

Hata Magufuli alikuwa Iron Boy!
1686536640311.jpeg

johnthebaptist
 
Sema tu kinacholeta maudhi, hao Iron Boys huwa wanabarikiwa sana kipaji cha ushawishi kwenye jamii kiasi cha kujikuta wanaaminiwa na hivyo kukabidhiwa majukumu makubwa, na yaliyo juu ya uwezo wao.

Golden Boys ukiondoa akili na maarifa mengi waliyojaliwa kichwani; bado wamenyimwa ule ujasiri wa kuchangamana na jamii, kujenga ushawishi, na pia kujitoa ufahamu. Ndiyo maana wengi wanaishia tu kulalamikia pembeni, kujinyamazia kimya, kupuuza, au hata kujitoa kabisa! Na hivyo kuacha mambo yajirndee tu yenyewe.. So sad for that. 🙁
 
nchi zote zilizo first world zilitumia Golden boys! Na ndiyo maana nimesema tumeruhusu NAPE awe waziri wakati ni IRON boy namba moja
 
Back
Top Bottom