As men;Ukiambiwa maneno haya na mpenzi/mke/girl friend wako utajisikia aje.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Declaration of interest.Mimi ni handsome boy,sina kitambi Yaani Nina mwili wa mazoezi.Kuna baadhi wa warembo humu waliwahi kuomba picha zangu nikawatumia so wanaweza thibitisha hili.

Hivi imetokea umekaa na shemeji yetu somewhere au mnacheck movie alafu shemeji akaanza kumsifia mwanaume aliyopo Mbele yenu au aliyopo kwenye tv kuwa ni mwanaume hb ana body nzuri + Hana kitambi mara Yupo flat or ana six pack.nk
Wakati anamwaga sifa zote hizo wewe unamsikiliza tu alafu kibaya zaidi hajawahi kukusifia kama hivyo hata siku moja na mbaya zaidi wewe una kitambi.
Je kama mwanaume utajikiaje vipi na maamuzi gani utayachukuwa dhidi yake,Je unaweza kuchangia mada hiyo.
Mwanamke unaweza kumsifia kidume kingine mbele ya jamaa yako,kama jibu ni No.Kuna wakati unatamani jamaa yako awe kama mwanaume Fulani kuanzia body yake na muonekano wako ila unashindwa kumwambia.
 
Kwani umeuliza nn manake mpaka sasa sijakuelewaa....so ulitaka shemeji yako akusifie ww au?au ndo sijaelewaa??
 
Nawewe unatafuta mdada mzuri zaidi yake unamsifia.
 
Ikiwa kwenye TV, check kademu/ mwanamke Mzuri na mrembo umsifie kinoma ili usikilizie response yake.

Hapo utapata jibu sahihi.
 
Namimi ntaweka ule mziki wa snura chura. Naanza kuwsifia wale madem wanao kata mauno. Jino kwa jino
 
nadhani mtoa mada bado una hulka za utoto ndani yako ( hujapevuka kiakili)
hahahahahah kweli kabisa, mawazo ya kike kabisa
amewaza nini kwa mfano? mimi ni ke but still nimeshangaa
 
Nawe anza kumsifia bi chau kuwa yuko njema kuliko yeye hasa alikukosha wkendi ile ulomdanganya umesafiri kikaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…