[h=3]Kuna mfuasi wa CCM alikuja na thread yake juzi eti: Chadema wacheni DAYDREAMS, 2015 no way to win Presidential Election. Unajua CCM ni wataalamu na mabingwa waliobobea katika kujifariji. Haya sasa, Pamoja na Lowasa wao, Nape sijui na nani, mmeona matokeo ya uchaguzi 28th? Huu ni mwanzo tu. Hiyo mimba mtaizaa October 2015 ikiwa na mapembe[/h]
Daftari la wapiga kura ni changamoto kubwa sana kwa cdm kwa sasa! Wengi wa wafuasi wake either hawakujiandikisha, hawakuwa wametimiza umri au wamepoteza. Inapofika siku ya kupiga kura, utaona ni wale wale wazee na akina mama. Vijana mh!