AS ROMA kama mrembo aliyekuwa akigombaniwa na wote

Dkileo

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
51
Reaction score
46
Baada ya mechi za robo fainali kuisha za Champions league 2017/2018 tulipata kuona mengi ya kushangaza..Liverpool ilimjeruhi Man city kwa kipigo kikali sana 5-1..City alifungwa nje ndani…Real Madrid wao waliitoa Juventus kwa jumla ya magoli 4-3…Bayern waliitoa Sevilla na Roma wakaitoa Barca..

Wakati watu wakingojea droo ya nusu fainali Roma ndio timu ambayo ilionekana kuwa dhaifu kuliko zote..Roma ni kama mlimwende mzuri katika group la wanaume watatu..Kila mwanaume anakuwa na matamanio ya kuwa nae..

Hatimaye Liverpool wamefanikiwa kumpata mlimbwende huyu

Msimu wa 2011-2012.. Chelsea walichukua ubingwa..Bayern munich,Real madrid,Chelsea na Barca walifuzu hatua ya nusu fainal..Chelsea ndio timu iliyoonekana dhaifu ukizingatia Chelsea ilipita kwa tabu sana katika kufuzu robo na nusu fainali..Hatua ya 16 bora Chelsea walikutana na Napoli ambapo Chelsea walifungwa 3-1 ugenini ..Napoli ya kina Edinson Cavani,Marek Hamsik na Ezequiel Lavezzi..Mechi ya pili Chelsea alipata ushindi wa magoli 4-1 kwa mbinde sana..Hatua ya robo fainal Chelsea walipangwa na benifica..ambapo mechi ya kwanza Chelsea walipata nushindi 1-0 na mechi ya pili darajani wakapata ushindi wa 2-1.. mechi ya Stamford bridge Chelsea walitangulia kupata goli na Benfica wakarudisha na h apo Benfica walitakiwa kupata goli moja ili wafuzu raundi ya nusu fainali..Chelsea walikuwa wamepaki basi ..Dakika za mwishoni kabisa Chelsea walipata goli lililo fungwa na Raul Maireles..

Chelsea walipangiwa Barcelona..Nadhani kila mtu aliamini kuwa Chelsea tayari imetoka..Barcelona ya pep Guardiola..Messi,Pedro,Iniesta,Xavi na wengineo..Lakini mambo yalikuwa tofauti na yalivyo tarajiwa..Basi la Robero Di Matteo liliweza kuiondoa Barceloa..ushindi wa 1-0 pale darajani na suluhu ya 2-2 bale camp now huku John terry akipewa kadi nyekundu mapema tuu..

Na hata katika fainal iliyochezwa allianz arena kati ya Chelsea na Bayern Chelsea waliweza kuchukua taji kwa penalty..Bayern walikuwa na kila sababu ya kuwa mabingwa kwenye fainali ile..

Hapa ndipo ninapo hisi roma inaweza kuwa kama Chelsea..chelsea walikuwa na bahati sana ..Kwenye football sometimes ni lazima uwe na bahati aseeh..Nikiangalia kikosi cha Roma kinachoongozwa na mkongwe Danielle De Rossi naona kabisa wanaweza kuishangaza dunia..Wameweza kuwashangaza barca kwa kuwafunga 3-0..

Nadhani inaweza kutokea roma kuwa bingwa wa Uefa champios league msimu huu..

“Lolote laweza kutokea kwenye mpira wa miguu lets wait and see”
 
Anything is possible, hata sibishi!
 
Team kama Liverpool washalijua hilo, hamna mechi ya kuchukulia simple kwetu, ikitokea tumeshindwa basi kwa uwezo wa hao wa Italiano na isionekane tulizalau team, ukipigwa umepigwa hamna kuleta hichi wala kile.
 
Sasa team imeitoa Barcelona inakuwa Je nyepesi ?!. Roma ni team kubwa na nzuri kama hizo zingine na huenda ikawa bingwa wa 2018/2019
 
Nawaambia wanazi hata world cup safari hii itakua na surprise nyingi sana..unaweza shangaa kuna timu maarufu siziguse hata 16 bora..
 
timu ngumu unapocheza game ya dream league ni Roma hata walipopangiwa na barca mm binafsi nlijua uwezo wa Roma kimchezaji mmoja mmoja ni mdogo sana hata fan ratings, lakini ushirikiano wa timu wachezaji na mashabiki(support) 100% nikajua chochote cha weza tokea uwanjani, Nawaamini sana na timu pekee kwenye PS iliyowahi nifunga tena mara mbili na kutupwa nje ya Global Challenge Cup, Roma haoo mweeeeeee!
 
Baada ya mechi za robo fainali kuisha za Champions league 2017/2018 tulipata kuona mengi ya kushangaza..Liverpool ilimjeruhi Man city kwa kipigo kikali sana 5-1..City alifungwa nje ndani…Real Madrid wao waliitoa Juventus kwa jumla ya magoli 4-3…Bayern waliitoa Sevilla na Roma wakaitoa Barca..

Wakati watu wakingojea droo ya nusu fainali Roma ndio timu ambayo ilionekana kuwa dhaifu kuliko zote..Roma ni kama mlimwende mzuri katika group la wanaume watatu..Kila mwanaume anakuwa na matamanio ya kuwa nae..

Hatimaye Liverpool wamefanikiwa kumpata mlimbwende huyu

Msimu wa 2011-2012.. Chelsea walichukua ubingwa..Bayern munich,Real madrid,Chelsea na Barca walifuzu hatua ya nusu fainal..Chelsea ndio timu iliyoonekana dhaifu ukizingatia Chelsea ilipita kwa tabu sana katika kufuzu robo na nusu fainali..Hatua ya 16 bora Chelsea walikutana na Napoli ambapo Chelsea walifungwa 3-1 ugenini ..Napoli ya kina Edinson Cavani,Marek Hamsik na Ezequiel Lavezzi..Mechi ya pili Chelsea alipata ushindi wa magoli 4-1 kwa mbinde sana..Hatua ya robo fainal Chelsea walipangwa na benifica..ambapo mechi ya kwanza Chelsea walipata nushindi 1-0 na mechi ya pili darajani wakapata ushindi wa 2-1.. mechi ya Stamford bridge Chelsea walitangulia kupata goli na Benfica wakarudisha na h apo Benfica walitakiwa kupata goli moja ili wafuzu raundi ya nusu fainali..Chelsea walikuwa wamepaki basi ..Dakika za mwishoni kabisa Chelsea walipata goli lililo fungwa na Raul Maireles..

Chelsea walipangiwa Barcelona..Nadhani kila mtu aliamini kuwa Chelsea tayari imetoka..Barcelona ya pep Guardiola..Messi,Pedro,Iniesta,Xavi na wengineo..Lakini mambo yalikuwa tofauti na yalivyo tarajiwa..Basi la Robero Di Matteo liliweza kuiondoa Barceloa..ushindi wa 1-0 pale darajani na suluhu ya 2-2 bale camp now huku John terry akipewa kadi nyekundu mapema tuu..

Na hata katika fainal iliyochezwa allianz arena kati ya Chelsea na Bayern Chelsea waliweza kuchukua taji kwa penalty..Bayern walikuwa na kila sababu ya kuwa mabingwa kwenye fainali ile..

Hapa ndipo ninapo hisi roma inaweza kuwa kama Chelsea..chelsea walikuwa na bahati sana ..Kwenye football sometimes ni lazima uwe na bahati aseeh..Nikiangalia kikosi cha Roma kinachoongozwa na mkongwe Danielle De Rossi naona kabisa wanaweza kuishangaza dunia..Wameweza kuwashangaza barca kwa kuwafunga 3-0..

Nadhani inaweza kutokea roma kuwa bingwa wa Uefa champios league msimu huu..

“Lolote laweza kutokea kwenye mpira wa miguu lets wait and see”
ramirez aliiokoa chelsea dhid ya barca
 
Back
Top Bottom