As the nwo globalists devastate texans with weaponized weather, what should be the lesson to the rest of the world?

Thibitisha Shetani yupo. Kisayansi
Kiranga do not pull me into a stupid discussion,Satan is a spirit being kwa hiyo you cannot prove scientifically that he exists.Lakini wewe si unamuabudu,sasa unaabudu nini kama hayupo?
 
Kiranga do not pull me into a stupid discussion,Satan is a spirit being kwa hiyo you cannot prove scientifically that he exists.Lakini wewe si unamuabudu,sasa unaabudu nini kama hayupo?
Wewe si ndiye umejinadi kutaja sayansi hapa?

Sasa huamini sayansi tena, unaamini uchawi?

Bloody fool.
 
Nimeamini uchawi how?Explain.
Kuamini kuwa Shetani yupo, na kuamini uchawi, tofauti ni ipi?

Zote ni supernatural beliefs ambazo hazina scientific basis wala evidence.

Ndiyo maana unapojibaraguza kuhusu sayansi, nikikwambia thibitisha huyo shetani yupo, kisayansi, unashindwa.

Thibitisha Shetani yupo. Kisayansi.
 
Mkuu basi yatosha, uthibitisho haupo! 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Ndugu Mathanzua, wewe endelea kusema. Watakubeza, watakupinga na kukukejeli lakini usiache kusema.

Sema, sema tena, sema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…