Nakukumbusha tu droo inapangwa leoAfrica Football is totally a mess..
Congolese side AS Vita Club have threatened to lodge an official complaint with CAF against Tanzanian club Simba SC for spraying an unknown material in the dressing room before their last round group stages match which was played yesterday at the National Stadium Dar es Salaam.
This is not the first time Simba has been accused of this practice, Al Ahly of Egypt have also complained of the same treatment when they played Simba.
#xtraLive
No allegations that As Vita have lodge complains against Simba, the story is nonsense!So what?
Inaitwa an Unknown Spray, ni Kali sana,inalegeza kiasi cha kuifanya team itangulie kupata goli na icheze kwa ushindani mkubwa hata kukaribia kupata bao LA ushindi dk za mwisho na kupigwa goli LA kutolewa dk za mwishooo kabisaNI sumu gani iliyotumika?
Nadhani hiyo waliipanga toka Congo.....kwamba wakifungwa ndo watachofanya.......na mipango yote hii sio Uwamuzi wa Coach.....picha wapige wenyewe vyumba vya kwao wenyewe afu izo acting mtu amelala wakati ni mda wakujiandaa na mechi no body is going to fall for that ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kweli hiyo ni spray hatariInaitwa an Unknown Spray, ni Kali sana,inalegeza kiasi cha kuifanya team itangulie kupata goli na icheze kwa ushindani mkubwa hata kukaribia kupata bao LA ushindi dk za mwisho na kupigwa goli LA kutolewa dk za mwishooo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app