AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

Hawa AS Vita wanadhani kule CAF kuna JECHA! Poor Congolese!
Hiyo habari ilitakiwa isomeke kwamba YANGA WAISHITAKI SIMBA KWA KUWAPULIZIA DAWA AS VITA CLUB
Kuna popoma anauliza Chura anahusikaje? Ajabu punda wa nyuma Vita katolewa lakini anayepiga mayowe ni punda wa mbele(chura).
Anafanywa mwingine lakini anayelalamika mwingine.
Uzi umeletwa na wacongo????
Hizi comments zimenifurahisha Sana teh teh teh teh teh! Mnawaza mbali sana haaa 😂 😂 😂!!
 
MPIRA BWANA HAUNA HESHIMA..
Nadir Haroub Ali "Cannavaro" Tangu anacheza mpira mpaka sasa kastaafu hajawahi kucheza robo fainal ya club bingwa. ila rashidi juma miaka "21" anaisubir robo.. Kelvin Yondani Licha ya miaka 3O n.k pia hajawahi kucheza robo ya club bigwa ila Mlipili Eti anaisubiri robo.
Ngasa kucheza soka kwake kote haifikii record ya salamba ya kucheza robo ya club bingwa.

Kweli ukicheza simba unaandika record mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AS VITA WAWEWESEKA...

~Kwenye pre match wakadai AC zisiwashwe kwenye chumba chao, hazikuwashwa! Siku ile ya mazoezi wakaomba wakugue dressing room yao, kinyume na taratibu wakaruhusiwa, bado tu wanatafuta sababu! Vita walijifunga wenyewe kwa hofu waliyolishwa hapa Dar! Hiyo panick ikaenda mpaka kwa Wachezaji wao!

Mechi coordinator alikagua chumba SAA 9,wakadeki na akachukua funguo na kufunga wakambiwa waingie waligoma ,wakapewa Uhuru wachague chumba chochote waingie wakakata haya sasa yanatokea wapi wapuuzi!

Hizi taarifa zote zimetokea kwa Constant Omary Rais wa Federation wa Kongo na Kitenge mtendaji wa mazembe mbona Mazembe wenyewe walishutumiwa baada ya kumfunga Club African 8-0 kuwa walitumia sumu na yalikuwa maneno ya washindwaji tu.

Hatuna wasiwasi wowote kuhusu hilo ,walimezeshwa sumu ya maneno na wajinga wakalewa na kupanic hawana jipya

C.E.O wa simba SC Magoli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyepiga hiyo picha yeye hakudhuruka na hiyo 'spray'!?

T[emoji769]
 
Reactions: Tui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…