As vita + Tp Mazembe + Yanga

Kwan ulitegemea watawafunga misri Tena wenyeji
 
Kwa taarifa yako, Waganda na Mafarao safari yao imeishia 16. Kongo DRC watapita next stage mark my words.
dakika 90 ndo mwamuz kwan ulitegemea mafarao kufa? au umewachukuliaje Madagasca?
 
Hawana jipya tena. Hawakuwaita wachezaji wazuri wanaostahili. Mputu yule mzee. Tatizo wana uteam nimegundua bora mtu afundishe team ya taifa peke yake kuliko kufundisha both national team na local kwa wakati mmoja.
Sisi waTz kwa ujuaji hatujambo
 
Kuna wakati Mwinyi Zahera anasimama peke yake na Yanga Peke Yake.
Sio kila aliko Mwinyi Zahera na Yanga ipo.
Kumbuka Mwinyi zahera aliikuta Yanga na ataiacha,
Mbumbumbu ningumu kutofautisha hilo mkuu
 
Kwa taarifa yako, Waganda na Mafarao safari yao imeishia 16. Kongo DRC watapita next stage mark my words.
Congo watapita njia nyeupeee kabisa,sioni Madagascar akimtoa DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…