fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
-
- #21
hatari saNa asaKe ameshine sana mwaka huuBest afrobeat album ya mwaka huu, my favs ni dull, terminator, joha... bila kusahau omo ope
Wizkid mwenyewe anaogopa kutoa album kisa asake lol
Kamskilize dula makabila na meja kuntaHamna kitu
Hatari saNa mzeeHiyo Ototo kuna violin imepigwa humo hadi aibuu.
SUMMOMI NI BONGE LA NGOMA NASHANGAA KWANN HAJATOA VDEO YA ORGANIZE WAKAT ILE NDO NGOMA KALI KULIKO HII ALOTOA JUZI YA JOHA
kama ni midundo inambeba lkn anz ngoma za taratibu ushawahi zisikiliza hzo nyimbo chiefKiukwel huyu jamaa hakuna kitu midundo tu ndo inamuinua
Ingia kwenye platform mbalimbali mtafute🤣🤣Wekeni hiyo migoma basi tuijue sifa anamwagiwa migoma hamtumi tusikilize
Aje bongo kwenye chuo cha Harmonize, afundishwe namna ya kuliendea soko la singeli kimataifa.Lazima ajue coz, niliona biography yake amesomea Mambo ya Arts na music bila Shaka....
Huyu ni burnaboy mwingine
Kama mmarekani vile🤣🤣 kumbe tapeli wa LagosHalafu jamaa ni mnyamwezi kinyama yan
Oshey mr 💰🤣Mambo vipi wakulungwa?
Aisee huyu jamaa anajua sana aina ya mziki anaoufanya amapiano, halafu anachanganya na fuji sijui na makorokoro gani. Anajua sana kucheza na mdundo, hasa Producer wake huyu anamjulia.
Ukisikiliza ngoma kama Nzanza, Sungba Peace be Unto You, Reasons, Ototo, aisee, jamaa ni wa moto halafu kaja juzi juzi tu ila anakimbiza.
Embu mdau toa maoni yako kama unamfahamu, kama humfahamu ingia YouTube. Niko geto na playlist yake hapa nasahau shida hata kama sina hela mfukoni.View attachment 2387804View attachment 2387805
OloraDe mi ashaKe🔥🔥🔥🙌Oshey mr 💰🤣