ASALAAM ALAYKUM,, NDG zangu Nina swali. Juu ya mjamzito na matibabu yake anapoumwa akiwa ameanza clinic.

Masaki road

Member
Joined
Jul 16, 2020
Posts
52
Reaction score
86
Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure

Mwenye taarifa sahihi anielekeze
Karibuni sana
 
Hakuna bure siku hizi hadi kuzaa na hela jipange sawa sawa.
 
Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure

Mwenye taarifa sahihi anielekeze
Karibuni sana
Tayari kitu imejibu!
 
Tayari kitu imejibu!
Swadakta mzee,, tuwaache kataa ndoa wasimamie wanachoaminikuoa Kuna amani ya moyo inapatikana
 
Back
Top Bottom