Mimi ni muungwana,mkweli na muwazi na hili ndo jina langu.ukiona mtu anaficha jina kuna ajenda ya siriKwanza karibu. Hapa si kijiweni ndo maana umekaa jamvini. Kwa kuanzia, wewe nawe hilo ni jina lako halisi ama ni la kisanii pia?
Nimejiunga rasmi hapa kijiweni(jf)leo hii,inasemekana hapa is a place where any one can dare to speak open;OK ,naomba kuwa uliza enyi wakongwe wa kijiwe-kwanini hapa kijiweni 99.9% yenu mmejicamouflage kwa majina feki(ya bandia)inamaana hapa wote wasanii. pili sijaona option ya kutoka(unsubscribe),inamaana ukiingia huwezi kutoka? nimeuliza kwa nia nzuri ili nianze kuchangia mada.
Mimi ni muungwana,mkweli na muwazi na hili ndo jina langu.ukiona mtu anaficha jina kuna ajenda ya siri
Poa,nina mada nyingi za kuchangia.ukiujua mlango wa kuingia ni busara ukaujua na wa kutokea usije tokea dirishani.Huyo Msanii mwenyewe akisoma hii thread atakujibu, yupo mmoja tu!..
Ukiingia unaweza kutoka Robot atakuelezea vizuri. Halafu ndo kwanza umeingia unawaza kuondoka! Kwanini,why!
Karibu sana ndugu Masumbo anza kuchangia mada straight away!..
hujambo?
mkenda nchi ya watu wenye chongo nawe pofua lako na kama hutaki kupofua basi tafuta nchi yenye watu wenye macho ili wakuone na wewe uwatazame any way karibu sana
stone towner