K kiungo New Member Joined Jun 25, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Jun 26, 2012 #1 Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Salam kwa wana jf wote! Mi ni mgeni kama member ila nasoma sana thread za jf. Nimeona niwe member ili niwaze kusaidia hapa na pale kwa lengo la kujifunza! Naombeni mnipokee wadau! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 26, 2012 #2 Karibu sana JF mkuu.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jun 26, 2012 #3 Pita ndani.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 26, 2012 #4 W,salaam. Karibu sana.
EMPTY JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 979 Reaction score 1,195 Jun 29, 2012 #5 Sinabudi ya kuitikia ombi. Lakini nakunasihi bofya kwenye "Jamiiforums rules". Coz kuna kitu chaitwa BAN. Ogopa hiyo kitu!!
Sinabudi ya kuitikia ombi. Lakini nakunasihi bofya kwenye "Jamiiforums rules". Coz kuna kitu chaitwa BAN. Ogopa hiyo kitu!!
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 887 Jun 30, 2012 #6 wasalam, karibu jf,
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,534 Reaction score 11,449 Jul 2, 2012 #7 Karibu sana
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 3, 2012 #8 Pita ndani.