Asalaam Aleykum

Asalaam Aleykum

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Nimekuwa msomaji siku nyingi sana, leo nimeona nijiungie rasmi.

Hilo ni jina langu halisi, naomba nijulisheni ni vipi linakuwa verified?
 
Sasa Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya...'
 
Back
Top Bottom