Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #21
Waooo karibu
karibu sana bizainabu katika home great thinker unaweka uzi kwenye then unautolea maelezo lkn kuwa makin uzi unaopost maana humu kama jina linavyojieleza great thinker unaweza kutoka bila kuaga fist chagua sehrm husika mfano jf chit chat, katiba mpya, uchaguz mkuu, love connect nk baada ya hapo unatupia nyuzi kama nilivyokupa maelezo mwanzo nakuendelea au kama unataka kuchangia fungua box yako ya submit reply mwaga pumba finally submit kwa maelezo zaid njoo PM please