asalale ahhaa no no

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Mapiga picha huu si ustaarabu, mnasemaje waungwana?
 

Attachments

  • mambo hayo.jpg
    68 KB · Views: 910
mmmhh.... si tabia nzuri wallah... huyo aliepiga hii picha atakua anakasoro ya akili kidogo.....kuna kinachomchanganya kichwani mwake...
 
huyu atakuwa na minyoo dume au fangus yabisi
 
heheheheheheheeheheheh Najua wadada wataitazama hii picha upande wa udhalilishaji coz mhusika ni mdada, sijui angekuwa mkaka ingekuwaje!?? Najua kuna wengine wange-pretend kudai bado wangesema ni udhalilishaji.
Mi sioni tatizo, maadamu sura ya mhusika haionekani
 
duh kweli ulikuwa muwasho wa kuhaibisha? dada wa watu hata habari hana kwa raha zake
 
Hehehehehehehe,,,
hivi utajikunaje kunako bila kuangalia kwanza mazingira kama yanaruhusu?
 
hehehehehehehe,,,
hivi utajikunaje kunako bila kuangalia kwanza mazingira kama yanaruhusu?
kweli mkuu maana hata gari kabla ya kukata kona huwa linawasha endiketa
 
G String!!! Duh ! kikamba kimezama anakitoa? Lakini hicho kikamba huwa nakionea wivu...kinafaidi sana!
 
Jamani kwani kutoa kipwinto imekuwa ajabu kiasi hiki mpaka tupigane picha lo!
 
Hehehehehehehe,,,
hivi utajikunaje kunako bila kuangalia kwanza mazingira kama yanaruhusu?
Kuna muwasho mwingine hautoi nafasi ya kuangalia mazingira kama yanaruhusu!
 
Aaaah kwa raha zake anajikuna aachwe dada wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…