Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sijambo, happy valentine...Hujambo bi mkubwa...uliyekuwa wamtafuta kaja
Sijambo, happy valentine...
Umepotea sana nlikumiss
Ahsante, mie mzima nmefurahi kukuona tena, ntafurahi pia BAK akirudiheri ya siku ya wapendanao nawe pia Evelyn Salt...
miss u back rafiki....bila shaka u mzima wa afya...
Alipotea chumba!Mkuu umejoin muda mrefu lakini unapiga hodi Leo........
Karibu sana