Asali,asali, asali mbichi

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,209
wanaboni nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka LUPEMBE njombe iringa mim nipo MWENGE dar es salaam. Kama upo dar tutakuletea popote ulipo hata kama upo mikoa mingine tutawasiliana na kufanya mpongo wa kukuagizia. Bei ya asali ni sh 10, 000 kwa lita 1. Kama utanunua nyingi kutakuwa na punguzo kuanzia lita 5. Kwa atakaye hitaji tuwasiliane kwa 0717 228064.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…