INAUZWA ASALI ASALI ASALI

Vyanka Ndondera

New Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari wana JF

Ninauza asali mbichi, Jumla na rejareja

Asali haijachakachuliwa yaani haijaongezwa chochote

Nauza kuanzia ujazo wa robo Lita hadi Lita 20

Robo Lita Tsh 3000
Nusu Lita Tsh 6000
Lita moja Tsh 12000
Lita tatu Tsh 36000
Lita tano Tsh 60000

Nauza pia kuanzia ujazo wa Lita 20 (Sawa na kilogramu 30)
Bei ni Tsh 150,000, mazungumzo yapo

Karibuni nyote

Napatikana Buguruni Dar es salaam

Mawasiliano

0786222723 WhatsApp
0758059898
0658059898
0625537679

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…