Asali asali ya nyuki wadogo

makenze

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
356
Reaction score
217
nimeichuja mwenyewe na kuipakinmwenyewe ina SEAL.haijachangwanywa na chochote na ni strait from mizinga kutokana na kwamba haijapitia mikononi mwa wachakachuaji kuna vinyori ndani yake kuthibitisha ni ya nyuki wadogo ni safi salama,
NUSU=15000
ROBO=8000

SEMA POPOTE ULETEWE KAMA UPO DAR ili kuepuka usumbufu sitaiweka hapa namba yangu ila kama utataka utanifata pm au hapa na kusema uko wapi nikuletee popote pale kwa gharama hiyo hiyo.
kwa mkoani kwa sasa ni arusha tu na kilimanjaro ndo naweza kukuuzia kwa jumla na reja reja.ukitaka jumla utafika mpaka nyumbani na kuoana uvunaji wenyewe na kuchagua upewe katika vifungashio au lah.

PICHA ZA NUSU NA ROBO.MZIGO NI MKUBWA SANA
 

Attachments

  • 1423570454093.jpg
    25.7 KB · Views: 238
  • 1423570471100.jpg
    26.9 KB · Views: 215
  • 1423570490225.jpg
    25.1 KB · Views: 212
  • 1423570506763.jpg
    21.7 KB · Views: 188
  • 1423570518709.jpg
    24.7 KB · Views: 190
  • 1423570534568.jpg
    28.1 KB · Views: 201
  • 1423570547208.jpg
    36.8 KB · Views: 186
  • 1423570567844.jpg
    68.8 KB · Views: 198
  • 1423570585888.jpg
    60.9 KB · Views: 181
Nimekukubali hasa hiyo packaging yako ni ya kisasa zaidi. Labda kwa ushauri tu, hebu onana na watu wa TBS ili uboreshe huduma na kazi hii kwa utayari wa kwenda Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…