Asali halisi

Asali halisi

cooper

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
430
Reaction score
109
Wadau kwa wanaohitaji asali bora kabisa original tutafutane inbox. Parking zetu ni 1 kg na 500 g
Bei ni elfu 10Kwa kg na elfu 5 kwa 500gm. Ukihitaji kwa ndoo pia tuwasiliane.
Nicheki tu inbox tuyajenge
 
1kg ya kimiminika?

Mkuu umeenda shule kweli au ndio tia maji tia maji...Tangu lini volume of liquid ikapimwa kwa kg?
 
Extrovert wewe ndio uendr shule. Asali hupimwa kwa density siyo kwa volume. Nenda duka lolote agiza asali ya kiwandani halafu angalia kipimo kilichoandikwa mle
 
Back
Top Bottom