R red label JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 439 Reaction score 886 Nov 2, 2023 #1 Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
Mr Surplus Economy Senior Member Joined Mar 19, 2018 Posts 174 Reaction score 166 Nov 2, 2023 #2 red label said: Habari wapendwa,inahitajika asali Kwa wingi..Mwenye connection aliye serious tuwasiliane pm... Click to expand... Asali mbichi au
red label said: Habari wapendwa,inahitajika asali Kwa wingi..Mwenye connection aliye serious tuwasiliane pm... Click to expand... Asali mbichi au
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Nov 2, 2023 #3 Hujajitosheleza kwenye tangazo lako. Kiasi gani? Kwa muda gani? Mbichi, ya nyuki watoto, iliyochemswa? upo wapi? inahitajika wapi?
Hujajitosheleza kwenye tangazo lako. Kiasi gani? Kwa muda gani? Mbichi, ya nyuki watoto, iliyochemswa? upo wapi? inahitajika wapi?
ruga boy New Member Joined Nov 28, 2023 Posts 1 Reaction score 1 Nov 28, 2023 #4 Ninayo asali mbichi bora kutoka tabora, lita 200. Uko wap nkuletee sampuli