Mkuu
Bandabichi Ikiwa huyo rafiki yako wa kike akitumia asali tumbo lake linakwangua
au linamuuma Si bora aache tu kuitumia hiyo Asali itakuwa kwake ni bora kuliko kulazimisha kunywa hiyo Asali. Asali
niijuavyo mimi ni Dawa kwa kila Maradhi na inatibu karibu maradhi mengi yaliyoshindikana kutibika Ma-Hospitalini ikiwa
huyo Rafiki yako wa kike akitumia Asali inamletea madhara bora tu aiache kuitumia namwambie aende Hospitali kuangalia
Afya yake haswa huko tumboni huenda akawa na maradhi yaliyojificha ndio maana akinywa hiyo asali Tumbo lake
linamuuma na kumkata mwambie aende Hospitali kufanya check up .