Mkuu we ni mtaalamu hasa wa asali kiboko ya wanaochakachua
Asante!
Watu wapate first class honey!!
Kwa majina mengine huitwa asali ya mezani (table honey!)
Ni asali ambayo haina mchanganyiko wowote na vichafuzi..
Coz inapovunwa ni more than 40km kutoka makazi ya watu hivyo nyuki hawezi kusafiri umbali huo kufata vywakutengenezea asali..
Kwa faida ya wengi …
Asali zipo za aina kadhaa..
Daraja la kwanza asali ya porini haswaa( wilderness Honey)
~ asali hii hupatikana kwenye misitu minene ambayo ni mbali sana na makazi ya watu kuanzia 20km na kuendelea.
Asali hii imegawanyika katika makundi mawili pia,
kundi la kwanza hili ni asali inayovunwa kwenye mapango ya miti au miamba . . Au sehemu yoyote ambayo haijaandaliwa na binaadamu.
Kundi la pili huvunwa katika mazingira hayo hayo ila kwenye mizinga ya asili ukiachana na hii ya kisasa inayopakwa rangi nyeupe.
NB :- Asali hizi ni namba moja kwa ubora hata bei yake kwenye masoko ya kimataifa ipo juu.
Daraja la pili ni asali inayovunwa kwenye makazi ya watu au maeneo yanayofugwa nyuki kisasa au kienyeji …
- Mara nyingi asali hii huwa anachangamoto kwasababu nyingi huwa na vitu vingi ambavyo vinaifanya kutokua safi na ule uasili wa asali unakua hamna .. vitu kama viwatilifu vya mazao, uchafu wa binaadamu na n.k
Kujua yote haya ni lazima asali hii ikapimwe na kuangaliwa vitu ilivyobeba..
Na mara nyingi asali ya hivi hutakiwa kwenda kutumika kwa shughuli za viwandani…( sio asali ya kuweka mezani na kula)
Asante karibu asali.. asali..
PURE ORGANIC HONEY!