Habari wanajamvi . Naomba taarifa juu yaasali mbichi ambayo inauzwa kawaida shillingi elfu 20 kwalita moja na ile yakawaida wanauzaga elfu 10 . Tofauti ni nini? wanachanganya nasukari au wanafanyajefanyaje manake siyo nzito kama mbichi.
Ni vyema kujua kwamba asali mbichi(ambayo haijapitishwa kwenye moto)ni nzuri kuliko ile iliyopitishwa kwenye moto,Kwani pale asali inapopitishwa kwenye moto baadhi ya enzymes hufa na virutubisho vingine hupotea.Mara nyingi asali hupitishwa kwenye moto ili kuiyeyusha hasa pale inapotakiwa kuchujwa.
hiyo mbichi... Mie nauza.. Ina utofauti sana na hizo nyingine... Asali mbichi inatumikima kwa matibabu na urembo... Ila hiyo nyingine haiwezi kukidhi hizo haja...
hiyo mbichi... Mie nauza.. Ina utofauti sana na hizo nyingine... Asali mbichi inatumikima kwa matibabu na urembo... Ila hiyo nyingine haiwezi kukidhi hizo haja...