S Shekel Empire Member Joined Apr 8, 2014 Posts 27 Reaction score 11 Apr 23, 2014 #1 Karibuni sana tufanye biashara;asali ya nyuki wakubwa dumu la lita 20 nauza 120000/= ;asali ya nyuki wadogo dumu la lita 5 nauza 75000; niko Makambako - Njombe; kama unahitaji mzigo nitafute kwa no hii 0688 16 18 18;mzigo unapatikana wa kutosha
Karibuni sana tufanye biashara;asali ya nyuki wakubwa dumu la lita 20 nauza 120000/= ;asali ya nyuki wadogo dumu la lita 5 nauza 75000; niko Makambako - Njombe; kama unahitaji mzigo nitafute kwa no hii 0688 16 18 18;mzigo unapatikana wa kutosha
ANKOJEI JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 996 Reaction score 745 Oct 13, 2014 #2 Vp bado unayo?
E eugenior Member Joined Nov 13, 2014 Posts 9 Reaction score 0 Dec 1, 2014 #3 nataka nyuki wadogo na mzinga nifuge, utaniuziaje?