Asali na maumivu ya tumbo

Asali na maumivu ya tumbo

Mama Ray

Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Ninatatizo la kuumwa na tumbo nitumiapo asali, iwe kwa mkate au kwa kulamba. Hili ni tatizo la kiafya au nikawaida? Naomba ufafanuzi.
 
Pole mama Ray, me napita tu, wataalamu naomba mumsadie.
 
Pole mama Ray, me napita tu, wataalamu naomba mumsaidie.
 
Tumia kiasi kidogo sana let say anza na robo kijiko kidogo na ni vizuri uiweke kwenye maji ya uvuguvugu robo glass - koroga ndo nywe. vinginevyo asali ni tiba nzuri, unless asali yako iwe siyo nzuri.
 
Duh, hata mie jamani nikilamba asali kidogo tu ni shida .Tumbo inauma kweli kweli. Tusaidieni ,maana nimeikimbia moja kwa moja japo ni muhimu ina faida nyingi
 
Kwani jamani asali ina madhara yeyote katika mwili wa binadamu?
 
Back
Top Bottom