Asali na nguvu za kiume

Asali na nguvu za kiume

jarida hilo linajulikana kwa jina la sayansi na Tiba asilia.
 
kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...

Mini nilidhani kama ukila asali, kumbe kujipaka kwenye maumbile, hapo nguvu zinatokana na imani yako.
 
kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...
Anyway kwa vile ulibahatika kulisoma, basi useme ni wakati gani
Kila siku au wakati wa shughuli na inakuwa na utendaji gani!
 
kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...

Fanya majaribio kisha uje na ushahidi.
 
Hizo nguvu za kiume zinakuwa za muda mfupi au za kudumu??? Maana yawezekana unapaka wakati unataka kuingia mzigoni ila shughuli ikiisha inabidi upake tena wa ajili ya kuji boost....
 
maelezo yake mm binafsi yananipa mashaka hayakujitosheleza, na nukuu
"asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi. Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji. Asali ilipigwa marufuku kwa makasisis katika baadhi ya dini za kimashariki mwa dunia.
Mwaka jana watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupelekea mwili kutoa homon mbali mbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika africa na dunia ya kusini mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ilikuongeza stamina zao za kufanya mapenzi"
by Dr. Carlos Kozel
 
Hizo nguvu za kiume zinakuwa za muda mfupi au za kudumu??? Maana yawezekana unapaka wakati unataka kuingia mzigoni ila shughuli ikiisha inabidi upake tena wa ajili ya kuji boost....

ndio maana nimelifikisha hapa kwa wataalam wa mambo for prove....
 
Muulizeni MziZi Mkavu pengine atakuja

na maelezo yanayojitosheza manake yeye yu hodari sana kwenye viasilia...
 
Mkuu.@Hans Pol Asali ukipaka katika uume wako inamfanya Mwananke wakati mnapofanya tendo la ngono ajisikie raha za kimapenzi sio tiba ya nguvu za kiume kwa kupaka uume wako .Asali kwa kunywa ndio tiba ya

nguvu za kiume lakini sio Asali peke yake ndio inayosaidia nguvu za kiume kuna dawa za kuchanganya na hiyo

Asali na ukitumia muda mwingi kwa kula ndio unaweza kuongeza au kutibu matatizo ya nguvu za kiume .Kwa mwenye

Matatizo ya nguvu za kiume hebu tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...

This can rarely exist labda kiimani peke yake!!
Ila dunia ni zaidi ya nijuavyo!!!!
Shukran!!
 
Ukipaka inapunguza sensation kidogo kwa hiyo unaweza ku prolong kidogo muda wa kufanya tendo.(Kuna some sort ya local anaesthesia)Fanya kuonja alafu uone jinsi inavyofanya kwenye ulimi basi hata kwenye kichwa cha machine ni hivyo hivyo!
 
Go tell it to the birds. Maybe hukuelewa ulichosoma na kama ulikielewa basi ndiyo sivyo.
 
Kama unapata asali nzuri na asili, ni dawa na tiba nzuri kwa mwenye tatizo la nguvu za kiume. ASALI NI DAWA KARIBU KWA KILA UGONJWA. Jitahidini kulamba walau vijiko 2 kila unapolala na 2 tena kila unapoamka, kwahiyo nunua na uiweke chumbani kwako, kumbuka ni tamu hata hivyo usipitilize utumiaji wake.

Mi nathibitisha bilashaka yeyote asali inatibu nguvu za kiume. Pia pendelea kutafuna vitunguu swaumu vibichi walau punje 2 mara 3 kwa siku.
 
kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...

Ukiangalia mechanism ya kudinda, kwa kujipaka sio kweli. Kwa kunywa labda inaweza ikasaidia.

Mechanism of Erection - How the Male Genitals Work

The firm and enlarged state of the penis is called an erection. There are four factors that lead to the erection of the male genitals;neural, endocrine, vascular and physiological. The complex interaction between these four factors causes the penis to erect. When there is a disruption in any of the functions of these four factors, erection dysfunction or impotence may occur. In order to prevent any event of disruption, it is necessary that a male knows the mechanics of erection.
The physiological explanation for the mechanics of erection is simple. There are only two mechanisms that are involved in erection; increased blood inflow and decreased blood outflow. Initially, erection is triggered upon the functioning of physiological stimuli. It starts with the libido function which is directly happening in the cerebral cortex. This is the sexual urge that makes a man feel the need for sex. When the libido arises, an impulse is sent to the spinal center which is then sent to the penis nerves.
The blood inflow mechanism of erection starts right after the impulse is sent to the penis nerves. When the penis nerve endings receive the impulse, arterioles dilate as the smooth muscles relax. Because of this relaxation that occurs in the muscles, the spaces in the corpora nervosa, the chambers in the penis, are filled in. When these spaces are completely filled in, the space is no longer enough to accommodate the blood flow, thus expansion follows.

kuna jarida moja nilibahatika kulisoma nikakutana na habari kuwa inasemekana kuwa asali ukijipaka kwenye maumbile ya kiume nitiba mbadala ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa sana mabaharia. Mwenye prove katika hili atiririke...

nimejaribu si kweli mkuu
 
Back
Top Bottom