Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar JF members.
Asali asili ya nyuki wakubwa na wadogo inauzwa kuanzia lita 20 kuendelea kutoka mkoa wa Tabora, Tanzania. Tuna tuma popote ulipo tanzania usafiri uwakika.
mawasiliano 0629 157 998 (halotel).
#Bei ya asali ya nyuki wakubwa
Lita 20 = 200,000 TZS (Laki mbili shillingi za kitanzania)
#Bei ya asali ya nyuki wadogo
Lita 20 = 500,000 TZS(Laki tano shillingi za kitanzania)
Mawasiliano:
call/message 0629157998
Karibu sanaView attachment 1813648
pusatmaduyaman.com
Mie nataka lita 10tu utaniuzia shilling ngapi?Habara great thinkers,
Moja kwa moja kwa wale wanaotaka kufanya biashara ya asali kwa kuuza jumla na reja reja. natoa muongozo na kuuza asali, napatikana Tabora mjini.
Asali ya nyuki wakubwa na wadogo. mawasiliano 06291 157 998
Ahsante mkuuKaribu sana boss, Bei ya lita 20 (nyuki wakubwa) ni 200,000 TZS (laki mbili shillingi za kitanzania tu) na bei ya nyuki wadogo kwa Lita 20 ni 500,000 TZS (Laki tano shillingi za kitanzania tu). Karibu boss tufanye biashara
Mkuu wapi uko ulininua kwa 80,000 nijulisheYaani tabora unauza 200,000 wakati dar kuna mtu katangaza humu anauza 150000? Ni kama bei zako sio halisia. Mwaka jana nilinunua singida 80000.
Ni muhimu ukaweka bei halisia