sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Asali ya hivi vyeo inaelekea ni tamu sana, na kuvipata vyeo hivi maaskofu wanakuwa wamehastle sana,
Kinachoonekana ni kwamba wanaogopa kutoa tamko kwa pamoja kwa kutumia baraza kwa hofu ya kupoteza utamu wa hivi vyeo,
Kwa sasa ni maaskofu wasiofikia hata robo ya theluthi wamepinga waraka lakini bado wanaendelea kutumikia vyeo vyao vya kanisa wanalopinga waraka wake.