sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Dec 26, 2023 #1 Asali ya hivi vyeo inaelekea ni tamu sana, na kuvipata vyeo hivi maaskofu wanakuwa wamehastle sana, Kinachoonekana ni kwamba wanaogopa kutoa tamko kwa pamoja kwa kutumia baraza kwa hofu ya kupoteza utamu wa hivi vyeo, Kwa sasa ni maaskofu wasiofikia hata robo ya theluthi wamepinga waraka lakini bado wanaendelea kutumikia vyeo vyao vya kanisa wanalopinga waraka wake.
Asali ya hivi vyeo inaelekea ni tamu sana, na kuvipata vyeo hivi maaskofu wanakuwa wamehastle sana, Kinachoonekana ni kwamba wanaogopa kutoa tamko kwa pamoja kwa kutumia baraza kwa hofu ya kupoteza utamu wa hivi vyeo, Kwa sasa ni maaskofu wasiofikia hata robo ya theluthi wamepinga waraka lakini bado wanaendelea kutumikia vyeo vyao vya kanisa wanalopinga waraka wake.
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Dec 26, 2023 Thread starter #2 honey
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Dec 26, 2023 #3 We jamaa mbona unatumia nguvu sana kutangaza huo ushoga wako. Kila siku wewe nyuzi za mashoga tu. Huchoki? Acha mambo ya kishoga, tafuta shughuli nyingine halali yakufanya.
We jamaa mbona unatumia nguvu sana kutangaza huo ushoga wako. Kila siku wewe nyuzi za mashoga tu. Huchoki? Acha mambo ya kishoga, tafuta shughuli nyingine halali yakufanya.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Dec 26, 2023 #4 Fasta walitakiwa wajiondoe kuliko kutumikia mhimili wenye uovu juu. Ishu ni kwamba wataishi vipi nje ya utukufu huo mkuu? Hawakujiandaa kuishi maisha mapya nje ya mfumo wa kanisa lao. Wafanye kama Martin Luther kutengeneza kanisa jipya
Fasta walitakiwa wajiondoe kuliko kutumikia mhimili wenye uovu juu. Ishu ni kwamba wataishi vipi nje ya utukufu huo mkuu? Hawakujiandaa kuishi maisha mapya nje ya mfumo wa kanisa lao. Wafanye kama Martin Luther kutengeneza kanisa jipya
N Necromancer JF-Expert Member Joined Sep 20, 2018 Posts 3,187 Reaction score 3,138 Dec 26, 2023 #5 Chaliifrancisco said: We jamaa mbona unatumia nguvu sana kutangaza huo ushoga wako. Kila siku wewe nyuzi za mashoga tu. Huchoki? Acha mambo ya kishoga, tafuta shughuli nyingine halali yakufanya. Click to expand... Anafikiri wakatoliki watahamia kwenye imani yake.
Chaliifrancisco said: We jamaa mbona unatumia nguvu sana kutangaza huo ushoga wako. Kila siku wewe nyuzi za mashoga tu. Huchoki? Acha mambo ya kishoga, tafuta shughuli nyingine halali yakufanya. Click to expand... Anafikiri wakatoliki watahamia kwenye imani yake.