Asali!

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Naomba kufahamishwa umuhimu wa asali ya nyuki wakubwa,nimesikia ukichanganya na maji ya moto inasaidia kuyeusha mafuta mwilini ila sijajua ni asali ya nyuki gani wakubwa au wadogo! Mimi natumia ya nyuki wakubwa naomba kujua faida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…