Asali

mama pita

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
97
Reaction score
139
jamani natafuta soko la asali wa nyuki wadogo kutoka tabora, bei ni maelewano. mimi nipo arusha kwa anaejua tujuzane jaman
 
we kijana hiyo unayohitaji lita moja ni Tsh 10,000 (Elf kumi tu) nayo ni kwa walinaji wenyewe kutoka kijiji cha Kitunda na Kipili wilaya Sikonge. Jaribu watu wa huko uongee nao.
 
Ni vyema ukasema unayo kiasi gani maana isije ikawa lita mbili tatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…