Interestingly, mashehe ubwabwa wako kwenye maandalizi ya dua al badri ili kumuangamiza referee wa hiyo mechi kwa kutoitendea haki Taifa Stars. Stay tuned!πUle mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Refa kawanyoosha majizi ya kura ili wajue uchungu wa kupokwa haki.Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Na hatutaki kusikia nywinywi wala nywinywinywi refa amechagua amani ambayo ndiyo kipaumbele cha CCM kudadadadeq
ππππNukuu toka kwa wakili madereka:REFA wa leo HANA tofauti na INEC ππ. There is NO DIFFERENCE between AFRICAN POLITICAL ELECTION and AFRICAN FOOTBALL REFEREEING.
Poleni mnaopenda AMANI bila haki.Refa wa Leo alikuwa hataki kusikia haki kwa sababu yeye ni mdau wa Amani alikuwa anapenda Amani kuliko haki wamorocco wangesababisha Amani itowekeππ.
Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.
Tuzo ya Nobel imfikie refa kwa kuitumza AMANI .View attachment 3525443
Nilidhani mutaandamana mufanye uharibifu, muue na kuiba kwa kukosa haki lakini sijaona hilo likitokea! Kunani?Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Iliyotolewa ni Taifa Stars ya Tanzania na Watanzania, wewe Mkenya haikuhusu. Pilipili usoila yakuwashia nini?Afadhali yametolewa. Yangeshinda hela nyingi sana zingepotea bure wakati watoto wetu wengi bado wanakaa chini na wengine hawana hata sehemu salama za kujisaidia. Good riddance!
View attachment 3525459
Anataka kujibiwa huyo, msaidie ni jirani. Tunapakana.