Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny
Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji kingine Cha uchekeshaji tangu bongo star search watangaze salama hatakuwemo msimu huu upande wa majudge kumepoa Sana.
Kuwepo Leo rayvanny kwenye show ya bongo star search atachangamsha Sana majudge wengine kutokana na uchangamfu wake.lakini pia ninayamini atamsaidia japo msanii mmojawapo wa bongo star search kutokana exposure kubwa aliyonayo.