Asante dada uliyeniuzia soksi, sasa miguu yangu hainuki tena

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,340
Reaction score
4,069
Niliziea kukuona ukiuza chupi (boxer) sox na singland(carwash) sijui kwa nini huitwa hivi. Nimekuona toka 2017 ukiuza hivi vitu kwa kupita kwenye bar na migahawa mikubwa.

But hivi karibuni uliniuzua sox kwa shilingi 2000 tu baada ya kukuhoji na ulinijibu kuwa ni cotton na hufanya miguu isinuke kwa vile hunyonya maji na kuacha ukavu.

Ahsante miguu yangu hainuki siku hizi na bure sijatumia dawa. Wape elimu wateja wanakuelewa ahsante sana we dada hapo Morogoro mjini.
 

Zipige picha bas tuzione mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…