Asante Diamond umeongea ukweli ambao mashabiki wako hawataki kuusikia!

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274

Kwenye huu uzi hapa chini kuna ndugu zangu walikomaa kweli wakipingana na hiki alichokisema diamond leo Diamond umethibitisha mwenyewe

www.jamiiforums.com/celebrities-forum/754935-diamond-ameonesha-njia.html#post11116555
 
Hahahaaaaa kama hawataki wanye boga.....uwiiiii wapi team ndomo?leo kawakana hadharaniiiii
 
akili nyingine,,,!! Ok endeleeni kumtaja maana bila jina DIAMOND uzi hazitembei hapa.
 
Diamond amesema ukweli kuwa AY kawaonesha mfano na hilo halina pingamizi! Safi Diamond kwa appreciation!
 
Miongoni mwa strength za diamond ni kuwakubali waliomtangulia kwenye game. .ananifrahisha akimuita dully sykes blaza dully basi dully anajaa kujiona kaka kweli. .
Mkuu kwani uongo dully sio kaka kwa diamond.!
 
Miongoni mwa strength za diamond ni kuwakubali waliomtangulia kwenye game. .ananifrahisha akimuita dully sykes blaza dully basi dully anajaa kujiona kaka kweli. .

utake usitake uta mkubali tu diamond.
 
Miongoni mwa strength za diamond ni kuwakubali waliomtangulia kwenye game. .ananifrahisha akimuita dully sykes blaza dully basi dully anajaa kujiona kaka kweli. .

Hahahaaaa mista misifa.....
 
Huo ndo uungwana kuwakubali waliokutangulia na waliokuzidi.....AAA wakuwache Dai...we hakunaga....
 
Diamond 25
ALIKIBA 31

Diamond katoka september/2009
ALIKIBA katoka 2005

Sasa mbona hamuiti Brother ALI.?

acheni kutoa sifa za uongo..

Hata q chief hjawah kumuita Braza Chillah,wakat alikua anamcfia..
 
Miongoni mwa strength za diamond ni kuwakubali waliomtangulia kwenye game. .ananifrahisha akimuita dully sykes blaza dully basi dully anajaa kujiona kaka kweli. .

hahahaha nimecheka sana si mr. misifa yule anajikuta striker
 
mi huku siku hizi huwa nakuja kutafuta nyuzi za bwana le mutuz tu niburudike

Nimeamua kumfuata instagram...hapa nishacheka roho nyeupeee....mwenyewe kaweka picha anarembua eti kachoka baada ya event....yule babu kiboko.
 
Nimeamua kumfuata instagram...hapa nishacheka roho nyeupeee....mwenyewe kaweka picha anarembua eti kachoka baada ya event....yule babu kiboko.
dah unajua asilimia 80 ya threads huwa ni kumchokoza tu aongee, ni entertainer yule
 
Huyo aliekuwa anabisha labda kama sio mfuatiliaji wa muziki kwa kuwa kila mfuatiliaji wa muziki anafahamu kwamba AY kaanza long time, si tu kwenye game hata kwenye featuring na international artists. Hata figure za juu kwenye video watu walianza kuzisikia kwa AY pale alipotengeneza video ya 32 million hata kama kuna watu ambao walibisha!!
 
Mleta mada nimegundua kwamba umekuza mambo! Binafsi niliposoma kwa mara ya kwanza nikajiuliza hivi ni Mtanzania gani anaweza kusema kwamba Diamond ndie mwanamuziki wa kwanza kutengeneza video SA wakati kuna wanamuziki kibao tu ambao walishafanya video nje ya nchi tena kabla huyo Diamond mwenyewe hajaanza muziki au kufahamika! Nimefuatilia thread yako uliyoweka kama reference ajabu ni kwamba ni mtu mmoja tu ndie alikomaa kwamba Diamond ndie mwanzilishi lakini pamoja na kwamba ni mmoja tu ndie alisema hivyo, wewe unadai kuna ndugu zangu walikomaa kweli wakipingana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…