Asante Diamond umeongea ukweli ambao mashabiki wako hawataki kuusikia!

ina maana unasema baina ya domo na ay nani alianza kushoot nje au btw kiba na diamond au umesahau mac muga alishoot wapi mfalme wetu aly k 4 real
 
Nimeamua kumfuata instagram...hapa nishacheka roho nyeupeee....mwenyewe kaweka picha anarembua eti kachoka baada ya event....yule babu kiboko.

Yule babu aachwe vilevile maana ana upekee wake japo umechanganyikana na utahira humo humo.
 
Una uhakika gani anawasema team dai ..

Anayepaswa kunya boga ni yule aliyekosa hela ya kutoa video
Mbaya zaidi, mtu mwenyewe ambae alisema Diamond ndie mwanzilishi, nimefuatilia huo mjadala ni mtu mmoja tu lakini mpwa kaja na thread na kusema mashabiki wa Diamond... maajabu haya!!
 
Siku zote ukitaka cha uvunguni ondoa kitanda tabia ya kuinama unaweza ukashikwa ta..o then kwa hasira ukangonga kichwa.Kweli AY alianza ila Diamond kaondoa kitanda sio kainama kuchungulia.Hapa haihitaji flani ukubali......
 
Diamond 25
ALIKIBA 31

Diamond katoka september/2009
ALIKIBA katoka 2005

Sasa mbona hamuiti Brother ALI.?

acheni kutoa sifa za uongo..

Hata q chief hjawah kumuita Braza Chillah,wakat alikua anamcfia..

Alikiba ni mchoyo yule na ana roho mbayaaaaaaa....ana roho ya kwanini...ndo maana hatafika sehemu
 
Wewe shabiki mandazi tu...huna lolote

Ha ha ha umepaniki eeh umejuaje kuwa mi shabiki maandazi kama si na wewe mmoja wao ukitiwa tu hamira unavimba na kupoteza network. HeeeeeeeeeeeeeiyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:what:😱😱
 
Ha ha ha umepaniki eeh umejuaje kuwa mi shabiki maandazi kama si na wewe mmoja wao ukitiwa tu hamira unavimba na kupoteza network. HeeeeeeeeeeeeeiyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:what:😱😱

Hamira ndio nini.? eti shabiki mandazi....nyie ndio mnaosifia tu bila fact...pheeeewwww
 
Hamira ndio nini.? eti shabiki mandazi....nyie ndio mnaosifia tu bila fact...pheeeewwww

Kumbe hujui eeh kitu kizuri kila mtu anakikubali na kina bamba ile mbaya hakitegemei skendo chafu kukiboost kizuri siku zote kinajiuza ila kibaya sasa uwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…