Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

Termux

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
429
Reaction score
1,031
DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania.

Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao.

Tumeanza kujionea mambo kama:

WABUNGE
Kuna baadhi ya wawakilishi wetu tunao wachagua kutuwakilisha wanafanya mambo kwa maslay yao binafsi si kwa maslay ya wananchi wa jimbo husika.

Wana pitisha vitu bila ya kuvisoma
Au kuvijaji bila kujua madhara yake ya baadae. Kama mbunge wetu kaweka wazi kuhusu huu Mkataba na kuoba msamaha kanisani.

Ningetoa pendekezo kuusu wabunge. Naomba sheria ipitiwe tena na kuongeza nafasi za wabunge kugombe iwe kuanzia form six (6) na awe amepitia jeshi kwa mujibu ili awe na uchungu na taifa lake. Maana Bunge ni muhimili muhimu sana katika nchi yetu.

MAWAKILI WA NCHI ( wanasheria wetu )
Hii imeonesha ushaifu kuwa wanasheria wetu awapo vizuri katika kusoma mikataba ambayo inchi inaingia kwa kuto zingatia maslay ya nchi yetu.

Ma profesa wote tulio nao na walio bobea katikabmaswala ya mikataba inaonesha isomi wao umekuwa wa wasi wasi. Mikataba ambayo serikali yetu pendwa inaingia kwa ajili ya maslay ya taifa kuna baadhi ya wapo kwa maslay ya matumbo yao.

KITU MUHIMU ZAIDI:
Kwa heshima zote na uzalendo wa kupindukia kwa mtu ambae alie vujisha huu mkataba wa DPW anastahili heshima sana japo atujui dhumuni lake mvujishaji huu mkataba ila ame play part zuri sana kama mzalendo wa UNITED REPUBLIC OF TANZANIA popote ulipo inaitaika upate heshima na ulizi kwa maisha yako yote kama mzalendo wa ukwei.

UDINI SIO MZURI KATIKA TAIFA HILI
Kwa kipindi hichi cha wiki chache tumeanza kuona marumbano na taharuki kupitia dini.

Kila mtanzania hana haki ya kuuliza na kutoa maoni yake kuhusu huu mkataba kama auna faida na nchi yetu.

Atupaswi iuchagua nani wa kutoa ushauli kama wote ni watanzania.

Ila nnaombi moja: wakuu wa dini zote ambazo zipo tanzania si vyema kama kuna nia safi ya kutoa maoni yatolewe tu na selikari yetu oendwa isikilize ushauli au maoni yanayo tolewa. ila sio kwa watu ambao awalitakii taifa letu amani kwa kupitia katika dini ili kuligawa taifa ketu pendwa.

Msitumie dini kuligawa taifa letu maana tanzania ni ya watanzania wote, na madhehebu yote. Amani ni muhimu sana, migogoro ya dini uwa inaleta maafa makubwa sana tukijiendekeza huko.

SERIKALI PENDWA
Hikiwa kama kuna makosa yameonekana katika huu mkataba ni bora serikali iyafanyie kazi na kuyarekebisha maana hiki kitu kutokea kina sababu sana. Iwe katika chama au raha, mikataba mingi tu walikuwa watu wana saini bila ya wananchi kutambua nini kinaendele. Ila kwa hili maana yake kuna sababu kabisa ndomana mkataba ukavuja.

Mapungufu yapitiwe na yalekebishwe na kama mkataba auna faida na nchi sio lazima waupitishe ili kutuonesha kuwa sikio la kufa alisikii dawa. Wananchi sasa wanaelewa kila kitu kinacho usu huu mkataba na sio wapumbavu tena. Vinavyo tokea sio kama awavioni wanaviona wanataka kuina serikali yao itafanya nini au kuendelea kushupaza shingo.

Natumaini na pia nna imani na serikali yangu pendwa ya Tanzania itafanyia kazi mambo yote ambayo wananchi wametoa maoni yao kwa wakati. Kama DPW aina faida na nchi achaneni nao na kama kuna faida rekebisheni vifungu hvyo ili mambo yawe uwazi na kutoa ofu kwa watanzania.

Ni mimi kijana wenu mpenwa Termux nguvu kazi ya kesho katika taifa letu pendwa la TANZANIA. #TANZANIA KWANZA MENGINE BAADAE
 
Richa ya hivyo watanzania tulio wakristo na waislam hatupendani kiukweli ni ile kinafki tu niliwahi kusema sema kwenye uzi flani humu tunachukiana kindani ngoja tuone hili swala linaishia wapi yote haya yanasababishwa na chama cha matapeli Tz hili li chama likija kuanguka ndio safari nzuri ya nchi yetu itaanza Mungu ibariki tanzania.[emoji174]
Haya mambo sijui yanatokana na nini. Tamaa za uongozi au tamaa za pesa
 
Richa ya hivyo watanzania tulio wakristo na waislam hatupendani kiukweli ni ile kinafki tu niliwahi kusema sema kwenye uzi flani humu tunachukiana kindani ngoja tuone hili swala linaishia wapi yote haya yanasababishwa na chama cha matapeli Tz hili li chama likija kuanguka ndio safari nzuri ya nchi yetu itaanza Mungu ibariki tanzania.[emoji174]
kumbe
 
Hakuna mbunge aliyechaguliwa ukimwacha wa chedema
Hii ishu imetia sana dosari nchi yetu na imeweka wazi kuhusu ndani kuna mfarakano mkubwa sana au u team flani na flani haya ndo mazara yake. RIP. JPM aliwatimua watu sasa wamerudi na kuanza vurugu sana. Wauni wengi wanakimbilia ili mambo yao yaende ila bado picha sisi yetu macho
 
Ngozi nyeusi imeumbwa na tamaa kutokupendana sisi kwa sisi ona nchi za wenzetu wanavyoishi very
Sad chama kimoja ndio kinaleta mabalaa yote haya
Kila kitu kina sababu subili tuone mwisho wake
 
Uko sawa 100%.Mungu akubariki.
Richa ya hivyo watanzania tulio wakristo na waislam hatupendani kiukweli ni ile kinafki tu niliwahi kusema sema kwenye uzi flani humu tunachukiana kindani ngoja tuone hili swala linaishia wapi yote haya yanasababishwa na chama cha matapeli Tz hili li chama likija kuanguka ndio safari nzuri ya nchi yetu itaanza Mungu ibariki tanzania.[emoji174]
 
DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania.

Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao.

Tumeanza kujionea mambo kama:

#WABUNGE
Kuna baadhi ya wawakilishi wetu tunao wachagua kutuwakilisha wanafanya mambo kwa maslay yao binafsi si kwa maslay ya wananchi wa jimbo husika.

Wana pitisha vitu bila ya kuvisoma
Au kuvijaji bila kujua madhara yake ya baadae. Kama mbunge wetu kaweka wazi kuhusu huu Mkataba na kuoba msamaha kanisani.

Ningetoa pendekezo kuusu wabunge. Naomba sheria ipitiwe tena na kuongeza nafasi za wabunge kugombe iwe kuanzia form six (6) na awe amepitia jeshi kwa mujibu ili awe na uchungu na taifa lake. Maana Bunge ni muhimili muhimu sana katika nchi yetu.

#MAWAKILI WA NCHI ( wanasheria wetu )
Hii imeonesha ushaifu kuwa wanasheria wetu awapo vizuri katika kusoma mikataba ambayo inchi inaingia kwa kuto zingatia maslay ya nchi yetu.

Ma profesa wote tulio nao na walio bobea katikabmaswala ya mikataba inaonesha isomi wao umekuwa wa wasi wasi. Mikataba ambayo serikali yetu pendwa inaingia kwa ajili ya maslay ya taifa kuna baadhi ya wapo kwa maslay ya matumbo yao.

KITU MUHIMU ZAIDI:
Kwa heshima zote na uzalendo wa kupindukia kwa mtu ambae alie vujisha huu mkataba wa DPW anastahili heshima sana japo atujui dhumuni lake mvujishaji huu mkataba ila ame play part zuri sana kama mzalendo wa UNITED REPUBLIC OF TANZANIA popote ulipo inaitaika upate heshima na ulizi kwa maisha yako yote kama mzalendo wa ukwei.

#UDINI SIO MZURI KATIKA TAIFA HILI
Kwa kipindi hichi cha wiki chache tumeanza kuona marumbano na taharuki kupitia dini.

Kila mtanzania hana haki ya kuuliza na kutoa maoni yake kuhusu huu mkataba kama auna faida na nchi yetu.

Atupaswi iuchagua nani wa kutoa ushauli kama wote ni watanzania.

Ila nnaombi moja: wakuu wa dini zote ambazo zipo tanzania si vyema kama kuna nia safi ya kutoa maoni yatolewe tu na selikari yetu oendwa isikilize ushauli au maoni yanayo tolewa. ila sio kwa watu ambao awalitakii taifa letu amani kwa kupitia katika dini ili kuligawa taifa ketu pendwa.

Msitumie dini kuligawa taifa letu maana tanzania ni ya watanzania wote, na madhehebu yote. Amani ni muhimu sana, migogoro ya dini uwa inaleta maafa makubwa sana tukijiendekeza huko.

#SERIKALI PEDWA
Hikiwa kama kuna makosa yameonekana katika huu mkataba ni bora serikali iyafanyie kazi na kuyarekebisha maana hiki kitu kutokea kina sababu sana. Iwe katika chama au raha, mikataba mingi tu walikuwa watu wana saini bila ya wananchi kutambua nini kinaendele. Ila kwa hili maana yake kuna sababu kabisa ndomana mkataba ukavuja.

Mapungufu yapitiwe na yalekebishwe na kama mkataba auna faida na nchi sio lazima waupitishe ili kutuonesha kuwa sikio la kufa alisikii dawa. Wananchi sasa wanaelewa kila kitu kinacho usu huu mkataba na sio wapumbavu tena. Vinavyo tokea sio kama awavioni wanaviona wanataka kuina serikali yao itafanya nini au kuendelea kushupaza shingo.

Natumaini na pia nna imani na serikali yangu pendwa ya Tanzania itafanyia kazi mambo yote ambayo wananchi wametoa maoni yao kwa wakati. Kama DPW aina faida na nchi achaneni nao na kama kuna faida rekebisheni vifungu hvyo ili mambo yawe uwazi na kutoa ofu kwa watanzania.

Ni mimi kijana wenu mpenwa Termux nguvu kazi ya kesho katika taifa letu pendwa la TANZANIA. #TANZANIA KWANZA MENGINE BAADAE
HARISI ? NO
HALISI? Yes
 
Back
Top Bottom