View attachment 2643994Gene (illustrator na Comic artist) ni moja ya watu walifanya utoto wa watu wengi kuwa na raha kwa namna yake.
Mchoraji huyu na Director wa Tom and Jerry ambao majina yao halisi ni Jasper na Jinx aliweza pia kuwa Mchoraji wa katuni ya Popeye the Sailor.
View attachment 2643962
Wasichokijua watu kuwa katuni imeakisi matendo halisi ya paka kuliko Panya.
Katuni hawa ni moja ya washiriki wa Movie ya Gene Kelly.
Jina Lao liliwahi kuleta utata baina ya watunzi wa katuni na ilikuja kupewa jina Tom and Jerry ikiwa ni moja ya recipe ya Cocktail/ rum maarufu huko uingereza.
Roboti wa kwanza kusababisha kiumbe hai kufutwa kazi alionekana katika katuni hii.
Katuni hawa kwa sasa wana miaka 83 tangu kuambulia kwao katika uso na ulimwengu wa media ila bado wame endelea kukonga nyoyo za watu wa Rika zote.
Unaweza kufikiri yeye na wenzie walikuwa na vituko vya aina gani kichwani mwao.
Asante Gene Deitch.
Haya tuendelee kuvunja mbavu sasa
View attachment 2643998