Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

Mwakibinga mimi nakuelewa maana ulikuwa mtu makini sana enzi tuko pale UDOM ulisimamia ukweli, lakini mwisho hakupata lolote uliishia kuwa loser.
Pole sana, sasa hivi umeamua kujikomba komba labda utapata chochote. Pole mwakibinga
 
Mkuu jifundishe japo kuweka paragraph,bandiko lako kulisoma ni kama adhabu.
 
Alikuwa na Mabausa wa uhakika
Juzi jumapili tulikunywa nae Supu asubuhi hapo Changby Moshi nilikuwa natoka zangu Dar nikapaki gari yangu pale nikakuta na V8 iko pale inanguruma jamaa wanapiga Supu ya mbuzi
Wanakata na hang over kidogo
Sabaya mwenyewe anawazungushia wapambe sahani la nyama
Alivyoondoka wenyeji wanadai jamaa alikesha hapo Redstone nightclub
 
Kuacha ngonjera zako ni kuwa hakuna mlazi wa hai anaitwa magembe, unajifanya unaijua hai kuliko sisi wenyeji..wazaliwa wa mji wenyewe.

Unaweza kuws unafanya mazuri.. lakin uovu wako ukafunika mazuri.
tabia zako zikafunika mazuri

ni ngumu kumeza. ila hayupo.
 
Usihofu, kasimamishwa kazi tu ili uchunguzi ufanyike dhidi ya tuhuma ambazo naamini si hizi ulizoziandika. Akikutwa hana hatia aweza rudishwa kazini.
 
kukesha redstone, hugos ndio mitaa yake. na kuzunguka na yule demu katarina karatu.
nikiwakuta wanatoka chumba cha wageni.. hotel sito itaja.
 
Kuna watu walilipwa hela nyingi Sana wamsaafishe BILIONEA SABAYA tatizo imeshindikana.Yule jamaa kawa BILIONEA kwa pesa za zulima.Ipo siku tutaweka ushahidi.na hapo ndo mtaumbika nyinyi watetea uovu.
 
Mwakibinga mimi nakuelewa maana ulikuwa mtu makini sana enzi tuko pale UDOM ulisimamia ukweli, lakini mwisho hakupata lolote uliishia kuwa loser.
Pole sana, sasa hivi umeamua kujikomba komba labda utapata chochote. Pole mwakibinga
Sorry, unamaanisha huyo mwandishi ana degree?
 
kukesha redstone, hugos ndio mitaa yake. na kuzunguka na yule demu katarina karatu.
nikiwakuta wanatoka chumba cha wageni.. hotel sito itaja.
Sasa ulitaka azunguke na wewe jombaa au?? Acha wivu!!
 
Baada ya hoja za kumtetea mwenda zake kugonga mwamba naona saizi nguvu inaelekezwa kwa sabaya.
 
Katika wale vijana waliopiga mawe msafala wa lisu nawe ulikuwepo kurusha jiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…