Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

Sabaya ebu acha basi [emoji107][emoji102]
 
Filipo unaonaje huyu Sabaya akakuoa?
 
Ninani atasimama na hili jambazi? Atakuwa jambazi
 
Mwenzako anaendelea kula nchi wewe unaendelea na stress zako. Nani mbwa sasa hapo kati yako na yeye!!?
yeee anakula nchi gani hajajenga alikuwa anatombea tu hela za kunyanganya
 
Comrade Mwakibinga heshima kwako. Ole Sabaya amegraduate sasa kuna kitu anaongeza kwenye akili ili awe imara zaidi.
Waache nyumbu washangilie hawajuagi kitu.
 
Una pepo la Magufuli wewe, si bure.
Na huko kwenu Magufuli hajafanya lolote!
Kujikomba komba kwenu hadi kwa marehemu, lazima msukule wewe.
 
Kwa msaada wa mapolisi, hata angekuwa ni Matonya (yule ombaomba maarufu) angeweza kuwa kiboko kwa yoyote - awe Magufuli, Mbowe, Samia!
 
Unataka kusema SAMIA na wasaidizi wake chungu nzima ndani ya hai hawajaona mazuri ya huyo dogo.
Nakushauri fungua shitaka mahakamani upinge dhuruma aliyofanyiwa dogo na Mama Samoa.
 
Hili n la kuvunda , halina ubani walai, pole zake
 
Leo hadi Mwakibinga amekuwa mtu wa Hai kweli sabaya anajitahidi kujisafisha. Ni too late sana kumtetea Sabaya. Huyu mwamba ana tuhuma za uhalifu wa kibinadamu, ujambazi, utekaji, uporaji, na kshfa lukuki. Huyu mwache akapambane na tume inayomchunguza.
Mwakibinga anasema "...... maamuzi ya Busara kwa Manufaa ya CCM".
Kumbe manufaa ya umma yawekwe kando?
 
Mkuu,

Haya ulitakiwa mtumie aliyekutengua....
 
Ukiona mtu uzuri wa kila kitu kwake ni ubaya ana matatizo ya akili.Ukiona mtu anasifia ubaya ni pamoja na wanaoyatenda mabaya!Mkuu tumuombee Sabaya afya njema maana hajakatwa mikono ataendelea na maisha yake.Hawa wanaoshangilia either ndio wahalifu au magaidi au genge la watu fulani au kuna sehemu waliingia kwenye kumi na nane za serikali iliyopita.Na kama vyote hivyo nimekosea tuwaombee afyya njema ili tuwaone mabadiliko mema wanayoyatarajia baada ya Sabaya kuondolewa.
 
Kaka msiongee sana Mama kasema akajibu tuhuma zinazomkabili,mstueni kuna kesi ake j3 inaandikishwa moshi imekamilika kila kitu ikiwemo video akimpiga mtu iko very clear huku akiwa ameshika AK 47 ,Mahakama ni ya haki
 
Ndio maana hata shetani anawafuasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…