Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

kwa mkeka huu wa leo nyumbu na mbung'o sijui wana hali gani huko waliko.

happy na chalamila bado wako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Until you all finished
Tutulie jaman mama ameletwa na katiba yetu Pendwa
Huu sasa ndio Mpango wa Mungu
 
Game is over....twendeni pamoja kwa maendeleo ya nchi yetu.
Sooner or later Sabaya will become an INMATE ...tusemeni INSHAALLAH
 
Hii haijaandaliwa na wanaccm, ila ni kikundi cha watu wachache.

Katika nchi iliyo huru, kila mtu ana haki ya kuishi kwa amani.
 
Mleta mada kama una mahaba na Sabaya mwambie akuoe uwe mke wa tatu au wa nne mtajuana wenyewe.
Mtu unaishi Koromije sijui wapi unakuja kuizungumzia Hai.
Acha uzwazwa jombaa!
 
mwacheni rais afanye kazi yake km huyo jamaa hana hatia yeyote basi taasisi za utendaji haki hazimtakuta na hatia yoyote au hao wana ccm unaosema hawana imani na taasisi zetu za utoaji haki?
 
Kweli kijiti kimewakaaa mnavyohangaika,kumamae hamna rangi mtaacha kuona
 
Wanadhani bado tupo zile zama za kusifu na kuabudu
 
Sijui hata ni nani alimpa hadhi ya Ole huyo kwa ni Nyangurooo si kwa matendo hayo ya ovyoovyo
 
Your browser is not able to display this video.

Huyu ni mtu muovu sana..sio kwa shangwe hizi mikoa yote ya kaskazini
 
Sehemu zisizo na sabaya serikali haikuwa karibu na wananchi wake ??! Hakika mnampotosha sana huyo sabaya na huenda ni hivyo vijisenti alivyonavyo ambavyo mwezi mmoja tu mbele hatokuwa navyo. Hamuwezi kushindana na dola mkadhani mtashinda, mngetulia mkawa wapole, lakini mnavyoweweseka ndio mnaharibu zaidi.
 
Mama yangu alikuwa ukiongea upuuzi / ushuzi alikuwa anasema kwa sauti kubwa, "FYOTOLOOOOOOOOO"
 
Wewe ni mchumia tumbo tunakufahamu.
Hupati cheo ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…