njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba
Siku nasikia kocha huyu wa zamani wa GETAFE akiwa simba atalipwa usd 15,000 per month nilijua huyu kaamua kuifanya simba kama njia ya kupitia mana kishingo mwenyewe anakula hela ndefu huko Morocco
Kwa hakika huyu akiifikisha simba hata nusu fainali msimu ujao itakuwa ngumu kumbakiza na ndicho hata utopolo kocha wao anawaringia kuongeza mkataba maana kuna mateams yana hela kama Zamalek , Orlando pirates hata kaizer chiefs wanahangaika na makocha.
Naamini usiamini jamaa hawa wa pirates wako serious na babu onyango kumchukua