FL1, nilikuwa naionaga hapo kwako lakini sikujuaga ni nini. Asante Nduguhongera sana keep it up
Hapana mkuu, hata ufikishe post 10,000 unaweza usipate ila unaweza ukawa na post 10 na ukapata,nadhani wanacho angalia ni nguvu ya hoja zako n'k kama sijakoseaICU
Senior Member
Join Date: Tue Mar 2010
Location: ICU
Posts: 159
Thanks: 22
Thanked 52 Times in 40 Posts
Mh kumbe na mimi nikifikisha 159 nitavishwa taji?
Hapana mkuu, hata ufikishe post 10,000 unaweza usipate ila unaweza ukawa na post 10 na ukapata,nadhani wanacho angalia ni nguvu ya hoja zako n'k kama sijakosea
Masaki, sijui unamaanisha nini?Sasa frequent poster na nguvu ya hoja wapi na wapi? Hizi award naona mnajipachika wenyewe!
Mbona wewe ujajipachika au hautaki?Sasa frequent poster na nguvu ya hoja wapi na wapi? Hizi award naona mnajipachika wenyewe!
Hapana mkuu, hata ufikishe post 10,000 unaweza usipate ila unaweza ukawa na post 10 na ukapata,nadhani wanacho angalia ni nguvu ya hoja zako n'k kama sijakosea
Sasa frequent poster na nguvu ya hoja wapi na wapi? Hizi award naona mnajipachika wenyewe!
Balantanda, Asante sana, tupo pamoja, pia mimi ni Arsenal damuHongera ICU..Keep it up
Hata mimi nafikiri hata kama hataki angejipachika ili kudhihirisha kuwa ni kweli watu wanajipachika awards hiziMbona wewe ujajipachika au hautaki?