Kuna girl kaniblock. Nimemtongoza mwaka jana sasa akaelekea kukubali majuzi hapa ila akaja na mbinu za kunichuna. Eti anataka mapenzi yetu yawe na uwekezaji kwa vile ana ideas za hela ila hana mtaji. Bahati mbaya mimi sirembi, nikamuuliza baba yako kakosa kukupa mtaji mimi nitoe boom nikupe?
Sasa hivi nikipiga inaita muito mmoja afu inatumika. Baadae ananitext, sasa sijui ndio block au nini.
Namsikilizia nipate hela yangu flani hivi nimnunue. Si wanataka hela, tufanyeje sasa